/
  • Streaming + Download

    Includes high-quality download in MP3, FLAC and more. Paying supporters also get unlimited streaming via the free Bandcamp app.
    Purchasable with gift card

      name your price

     

lyrics

Chorus:
Tunakushukuru mama Maria (Kwa neema) kwa neema unazotujalia (Asante)
Asante Mama wa Yesu uliye na huruma (uzidi) kutuombea mpaka saa ya kufa.

1. Mama Maria Mama mfariji wetu,
Asante sana kwa kutusimamia.

Chorus (1x)

2. Maombezi yako yatutia nguvu,
Asante Mama Maria mtakatifu.
Lyrics:

Chorus (1x)

3.Tuna furaha, tuna matumaini,
Kwa kuwa tu nawe Mama wa huruma.

Chorus (1x)

4.Mama wa Yesu, Ewe Mama Maria,
Tusaidie, tushinde vishawishi.

Chorus (1x)

5.Katika uwingu ndiwe mbarikiwa,
Katika maisha ndiwe kinga yetu.

Chorus (1x)

credits

from Tunakushukuru Mama Maria, released July 27, 2013

license

all rights reserved

tags

about

Sauti Ya Furaha Nairobi, Kenya

Sauti ya Furaha was established in 2013 with the aim to spread beautiful, energetic and authentic African youth choral music. The name Sauti ya Furaha derives from Swahili language and means “Voice of Joy”.

We want to give African gospel music more visibility so that this music can reach as many people in the world as possible!

70% of the profit go directly to the young artists.
... more

contact / help

Contact Sauti Ya Furaha

Streaming and
Download help

If you like Tunakushukuru Mama Maria, you may also like: